KUZIONA SIMBA,YANGA 40,000

MASHABIKI SIMBA

MASHABIKI YANGA




VIINGILIO kwa ajili ya kushuhudia mechi baina ya watani wa jadi nchini, Simba na Yanga kwa VIP A ni shilingi 40,000, VIP B shilingi 30,000 VIP C 20,000, rangi ya chungwa mkabala na VIP sh 15,000, rangi ya chungwa nyuma ya magoli sh 10,000, bluu shilingi 7,000 na bluu mzunguko sh 5000.

1 Comments

  1. Mpira siku hizi ghali eehe, lakini kwa washabiki hiyo ni hela ndogo sana

    ReplyDelete
Previous Post Next Post