WEKUNDU WA MSIMBAZI, SIMBA SC
TIMU ya soka ya Simba itashuka leo jioni itashuka katika dimba la CCM Kirumba jijini Mwanza, kukwaana na AFC ya Arusha katika mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.
Simba itacheza mechi ya leo ikiwa na hasira za kufungwa bao 1-0 na mahasimu wao wa jadi, Yanga jumamosi iliyopita.