U-23 (TANZANIA)
Wakati vijana wakichanua na ushindi huo, kaka zao Taifa Stars imepigwa mabao 2-1 na Jamhuri ya Afika ya Kati katika mechi iliyopiga huko Bangui.
U-23 (NIGERIA)
TIMU ya soka ya Taifa ya vijana chini ya miaka 23 imewatoa Watanzania kimasomaso bada ya kuwafunga vijana wenzao wa Nigeria bao 1-0 katika mechi ya kuwania kucheza fainali za Olimpiki zitakazopigwa baadaye huko London, Uingereza.Wakati vijana wakichanua na ushindi huo, kaka zao Taifa Stars imepigwa mabao 2-1 na Jamhuri ya Afika ya Kati katika mechi iliyopiga huko Bangui.