YANGA FULL MCHECHETOOOO

SIKU mbili kabla ya kumvaa mnyama Yanga imeonekana kuwa na mchecheto baada ya kuhamisha kambi yake kutoka makao makuu ya klabu hiyo mitaa ya Jangwani na Twiga hadi kwenye hoteli yenye hadhi ya nyota tano ya Double Tree By Hilton iliyopo Masaki, jijini Dar es Salaam.
Kama hiyo haitoshi, Yanga pia wamebadili uwanja wao wa Mazoezi kutoka Kaunda hadi uwanja wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

1 Comments

  1. YANGA BOMBA- UHURU BRANCHOctober 27, 2011 at 4:39 AM

    MCHECHETO WA NINI SASA NA WEWE MAMA SIMBA?!!!ALAAA HUACHI?!!!

    ReplyDelete
Previous Post Next Post