TAARIFA
KWA VYOMBO VYA HABARI
RaiswaJamhuriyaMuunganowa
Tanzania,
MheshimiwaJakayaMrishoKikweteametumasalamuzarambirambikwaWaziriwaHabari, Vijana,
UtamaduninaMichezo, MheshimiwaFenellaMukangarakuombolezakifo cha
MhaririMtendajiwaGazeti la JamboLeo, Ndugu Willy Edward
Ogundekilitokeausikuwakuamkiajana, Jumapili, Juni 17, 2012 mjiniMorogoro.
Katikasalamuzakezarambirambi,
MheshimiwaRaisKikweteamesemakuwaameshtushwanakusikitishwanakifo cha ghafla cha
Ndugu Willy Edward
Ogundeambayeamepotezamaishaakiwabadokijanaingawatayarialikuwaamekwishakutoamchangomkubwakatikamaendeleoyatasniayahabarikutokananaumakini
wake, uzingatiajiwaweledikikamilifunamisingiminginemikuuyauandishiwahabari.
“Nimepokeakwamshtukomkubwanahuzuninyingikifo
cha ghafla cha Ndugu Willy Edward
Ogundeambayenimejulishwakuwakilitokeausikuwakuamkiajana, Jumapili,
hukoMorogoroambakoalikuwaamekwendakikazi. Ndugu Willy Edward Ogundeamepotezamaishaakiwabadokijanasanahatakamanikwelikatikamudamfupiwamaishaametokeakuwamfanowakuigwakatikatasniayahabarikwamchango
wake wakudumishaweledinamisingiminginemikuuyauandishiwahabari.”
AmeongezaRaisKikwete:
“NakutumiaweweMheshimiwaWazirisalamuzadhatiyamoyowanguzarambirambikuombolezakifo
cha kijanahuyuwetunamwanataalumawako. Aidha,
kupitiakwakonakuombauniwasilishiesalamuzangukwawanataalumawotewatasniayahabarinchinikwakuondokewanamwenzao.
Lakinizaidi, nakuombaunifikishesalamuzangunyingikwawanafamilia, ndugunajamaawaMarehemu
Willy Edward Ogunde.”
“Wajulishekuwanikonaokatikamsibahuumkubwakwasababumsibawaonimsibawangupia.Naelewamachunguyaokatikakipindihikikigumu
cha kufiwanampendwawao. Nawaombeasubiranauvulivu. Aidha,
wajulishekuwanaungananaokatikakumwombaMwenyeziMungu, MwingiwaRehema,
aiwekepemapeponirohoyaMarehemu Will Edward Ogunde. Amina,”
amesisitizaMheshimiwaRaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania.
IMETOLEWA
NA:
KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU
18
Juni, 2012
DAR
ES SALAAM