Kocha mpya wa Yanga Mbelgiji Tom Saintef
akisaini mkatba wa miaka miwili kwa ajili ya kuinoa timu hiyo katika hafla
iliyofanyika leo kwenye ofisi za klabu hiyo mitaa ya Jangwani na Twiga,Katikati
ni katibu mkuu wa Yanga Mwesiga Selestine na kulia ni mmoja ya wafadhili wa
timu hiyo Majid .
Saintfe akibadilishana mkataba na Mwesiga huku Majid akishuhudia.