| MAJAJI WA EPIQ BONGO STAR SEARCH, MADAM RITA, SALAMA J NA MASTER J WAKITOKA KWENYE BANDA LA ZANTEL |
| MADAM RITA NA SALAMA J WAKIPIGA PICHA NA WAFANYA KAZI WA ZANTEL NJE YA BANDA LA ZANTEL - SABASABA |
| MASTER J AKIPIGA PICHA MBELE YA TANGAZO LAKE LA EPIQ MOTO. |
| MADAM RITA AKIWASALIMIA WAFANYAKAZI WA ZANTEL. |
| MADAM RITA AKIZUNGUSHWA BANDA LA ZANTEL SABASABA |
| MADAM RITA AKIONGEA NA WAANDISHI WA HABARI |
| MENEJA MAWASILIANO WA ZANTEL, AWAICHI MAWALLA AKIJIBU SWALI LILILIOULIZWA NA MWANDISHI WA HABARI. |
| SALAMA J NA MASTER J WAKIPEANA MIKONO NA WANAFUNZI AMBAO WALIKUWA NJE YA BANDA YA ZANTEL |
| UPENDO ERNEST AKICHUKUA FOMU YAKE YA USAJILI KWA AJILI YA EPIQ BONGO STAR SEARCH. |