SIMBA, AZAM FC KATIKA FAINALI KESHO ZANZIBAR


                                                                        SIMBA SC
                                                AZAM FC

MABINGWA wa ligi kuu soka Tanzania bara Simba na Mabingwa wa michuano ya kombe la Mapinduzi Azam FC kewsho watakutana katika mchezo wa fainali wa michuano ya kombe la urafiki utakaopigwa kwenye dimba la Amaan, visiwani  Zanzibar. 
Azam imetinga hatua hiyo baada ya kuikwanyua Super Falcon mabao 2-0 huku Simba ikikata tiketi hiyo baada ya kuifunga All Stars bao 1-0. 
Mchezo huo wa fainali utakuwa wa pili kuzikutanisha timu hizo katika michuano hiyo ambapo awali zilikutana katika hatua ya makundi na kutoka sare tasa.

Post a Comment

Previous Post Next Post