Home KUMEKUCHA MISS TEMEKE byANID UPDATES -July 05, 2010 0 KANDA ya Temeke ijumaa ya wiki hii inatarajiwa kumpata mrembo wake kupitia shindano la Miss Temeke linalotarajiwa kufanyika katika klabu ya Tcc Changombe. Facebook Twitter