WAGOMBEA YANGA WAGONGANA MORO

KIFUKWE

WAGOMBEA uenyekiti wa Yanga  Francis Kifukwe na Mbaraka Igangula jana waligongana mkoani Morogoro waliokuwa katika ziara maalum ya kampeni zao za kuwania nafasi hiyo kupitia uchaguzi utakaofanyika Julai 18.

Mbali na hao pia wagombe wa nafasi ya ujumbe, Isaac Mazwile, Lameck Nyambaya na Tito Osoro nao waliambatana na Kifukwe katika safari ya Moro ambapo waluianzia wilayani Kibaha, kisha Chalinze.

Post a Comment

Previous Post Next Post