MTAYARISHAJI WA KIPINDI CHA POWER BREAKFAST CHA REDIO CLOUDS JIMMY FRANCIS KATI, MUSSA NGARANGO KULIA NA SAID MICHAEL KUSHOTO
JIMMY KUSHOTO NA SAID MICHAEL KULIA
HAPA AKIMUHOJI MUSSA NGARANGO
Katika mahojiano hayo mtayarishaji alitaka kujua masuala mbalimbali ikiwemo nafasi ya katuni katika jamii na nini wanachokifanya kabla ya kuchora, matatizo yanayowapata na tofauti ya katuni na habari na mambo mengine mengi.
Mahojiano hayo yatasikika kesho katika kipindi cha POWER BRAKFAST ambacho hurushwa kila siku za jumatatu hadi ijumaa kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa tatu asubuhi chini ya watangazaji wake Babra Hassan, Gerald Hando na Paul James.