JODECI
ALL 4 ONE
DRU HILL
BOYS 11 MEN
SILK
112
AZ YET
H TOWN
HI FIVE
HAYA ni baadhi ya mnakundi yaliyokuwa yakitikisa enzi hizo katika muziki wa R&B ambapo mpaka sasa hakuna ikundi hata moja lililoendelea kuwa pamoja sanasana baadhi ya wasanii waliokuwa katika makundi hayo wanafanya kazi kila mmoja kivyake ingawa si wote na hata hao wanaoendeleza libeneke hawatambi kama ilivyokuwa zamani