MARY J BLIGE
MAREHEMU LEFT EYE (RIP)
DA BRATTAATAAA
BAHAMADIA
MC LYTE
QUEEN LATIFAH
LIL KIM
LAURYN HILL
LADY OF RAGE
FOXY BROWN
MS JADE
RAH DIGGAH
NI nani asiyekubali kwamba kina dada hawa waliteka hisia za mashabiki wa muziki wa hip hop mwanzon mwa miaka ya 2000?, baadhi yao wanaendelea ingawa kwa kusuasua, wengine wamegeukia fani nyingine ikiwemo uigizaji filamu.Enzi hizo tukisoma wengi wetu tukliookuwa tukipenda muziki tulikuwa mahiri wa kunaliki nyimbo zao zilizokuwa zikitamba kwa kipindi kile.