MUHIDINI GURUMO
KIONGOZI wa bendi ya msondo ngoma Muhidini Gurumo amelazwa ktk hospitali ya taifa ya Muhimbili katika wodi ya Mwaisela no 5 huku akiwa anapumulia mashine ya gesi kutokana na kusumbuliwa na ugonjwa wa Mapafu kujaa maji.
Tunamtakia kupona kwa haraka