Home PRIYANKA CHOPRA ATAMANI KUOLEWA byANID UPDATES -December 04, 2010 0 MISS world wa mwaka 2000 na mwigizaji nyota wa Priyanka Chopra amesema anatamani kuolewa kwa sasa huku akiweka wazi kwamba aitakuwa poa akiolewa na nyota wawili katika tasnia ya filamu huko Bollywood, Shahid Kapoor ama Ranbir Kapoor. Facebook Twitter