الصفحة الرئيسية RAIS KIKSWETE AKABIDHIWA FEDHA MPYA Dina Zubeiry ديسمبر 24, 2010 0 تعليقات Facebook Twitter RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amekabidhiwa fedha mpya ambazo zitaanza kutumika nchini kuanzia mapema januari mwaka 2011.Kikwete alikabidhiwa fedha hizo na Gavana wa Benki Kuu Benno Ndulu. Facebook Twitter
إرسال تعليق