MAMBO YATAKUWA KAMA HIVI, USIDHANI NI SIMBA NA YANGA, HAO NI WAANDISHI WA HABARI WAKIWAKILISHA MAPENZI YAO KATIKA MOJA YA BONANZAKAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel imeandaa bonanza maalum kwa waandishi wa habari litakalofanyika Februari 12 katika viwanja vya posta, vilivyopo Kijitonyama jijini dar es Salaam.
إرسال تعليق