الصفحة الرئيسية STARS YAAGA NILE BASIN Dina Zubeiry يناير 11, 2011 0 تعليقات Facebook Twitter TIMU ya soka ya Tanzania Taifa Stars imeaga michuano ya Nile Basin baada ya kutoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Uganda.Awali timu hiyo ilianza micjhuano hiyo kwa kuchapwa mabao 5-1 na wenyeji Misri kabla ya kutoka sare ya bao 1-1 na Burundi. Facebook Twitter
إرسال تعليق