VITI VYA KIJANI MZUNGUKO Sh.3,000
VITI VYA BLUU MZUNGUKO SH.5,000
VITI VYA RANGI YA CHUNGWA SH.7,000
VIP C SH.10,000
VIP B SH.20,000
VIP A SH.30,000
TIKETI ZITAANZA KUUZWA SIKU YA IJUMAA KUANZIA SAA MBILI ASUBUHI KATIKA SEKONDARI YA BENJAMINI MKAPA, BIG BON MSIMBAZI, MGAHAWA WA STEERS ULIOPO MTAA WA SAMORA/OHIO NA UWANJA WA UHURU.