BABU TALE, MENEJA WA TIP TOP CONNECTION
HABARI wadau wetu, tunashukuru kwa kuwa nasi kwa muda wote katika game, tunaomba muendelee kuwa nasi katika mchakato wa kuwania tuzo za Kili kwa kutupigia kura kwa kuandika F 134 kwenda namba 15747 ili kutuwezesha kutwaa tuzo ya wimbo bora wa mwaka.
Pamoja, babu Tale.