الصفحة الرئيسية YANGA YAIKWANYUA AZAM FC 2-1 Dina Zubeiry مارس 30, 2011 0 تعليقات Facebook Twitter YANGA imeikwanyua Azama Fc kwa mabao 2-1 katika mechi ya ligi kuu Bara iliyopigwa leo kwenye Uwanja wa Uhuru.Mabao ya Yanga yalifungwa na Jerry Tegete, huku lile la Azam likifungwa na John Bocco 'Adebayor'. Facebook Twitter
إرسال تعليق