الصفحة الرئيسية WATOTO WA JULIO WAYUKUMIZWA NJE ALL AFRICAN GAMES ANID UPDATES أبريل 30, 2011 0 تعليقات Facebook Twitter TIMU ya Tanzania chini ya miaka 23 ‘U-23’ imeaga rasmi mchakato wa kuwania kufuzu kwa mashindano ya All African Games baada ya kukubali kichapo cha mabao 3-1 kutoka kwa vijana wenzao wa Uganda ‘The Kobs’ kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Facebook Twitter
إرسال تعليق