NGULI wa soka nchini Uingereza David Beckham na mkewe Victoria 'Posh' Adams Beckham wamefanikiwa kupata mtoto wa nne wa kike jana na kumpa jina la Harper Seven Beckham.Tayari wanandoa hao waliodumu miaka 12 , wana watoto watatu wa kimume, Brooklyn ( 12),Romeo (8) na Cruz ( 6).