GWIJI wa zamani wa Manchester United na Timu ya Taifa ya England, Bryan Robson akizungumza katika uzinduzi wa kliniki maarufu ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 'Airtel Rising Stars' katika hafla iliyofanyika kwenye hoteli ya Sea Cliff, jijini Dar es Salaam leo.
Robson akipiga mpira kuashiria uzinduzi wa cliniki hiyo itakayokuwa kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ikiendeshwa na wataalamu kutoka Manchester United, chini ya udhamini wa kampouni ya simu za mkononi ya AirtelBAADHI ya chipukizi waliochaguliwa kushiriki katika cliniki hiyo itakayohusisha wachezaji kutoka nchi za Kenya, Sierra Leone, Malawi na wenyeji Tanzania
Watanzania ni wakarimu sana hivyo kikundi hiki cha ngoma za asili kilishiriki kutoa burudani kwa wageni waalikwa.
Robson akitoa zawadi kwa mmoja ya wachezaji watakaohudhuria kliniki hiyo ya siku nne itakayoanza kesho