PAPIC AANZA RASMI KUINOA YANGA,TIMBE ATIMULIWA

HOMA ya pambano la watani wa jadi nchini Simba na Yanga imeanza kupanda taratibu ambapo Yanga imemtiamua kocha wake Sam Timbe na kumrejesha Kostadin Papic ambaye ameanza rasmi kuinoa timu hiyo  jioni ya leo katika mazoezi yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Kaunda.

Post a Comment

Previous Post Next Post