SIMBA WAHAMA BAMBA BEACH

VINARA wa ligi kuu soka Tanzania Bara,Simba leo wanatarajiwa kuhamisha kambi yao kutoknaka katika hoteli ya Bamba Beach iliyopo Kigamboni mpaka katikati ya jiji la Dar es Salaam, yote ikiwa ni katika maaandalizi ya pambano lao na mahasimu wao wa jadi nchini Yanga, itakayopigwa kesho kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Post a Comment

Previous Post Next Post