Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe, akikabidhi fungu la udhamini kwa msanii wa muziki wa Bongo Flava, Juma Ilunga Khalifa ‘Cpwaa’ aliyechaguliwa kushindania tuzo za Channel O za Video bora ya muziki kutoka Afrika Mashariki. Cpwaa alitangazwa kuwa Balozi wa Kilimanjaro katika Kampeni ya ‘Jivunie uTanzania’.