MENEJA-BABU TALE
MADEE-MSANII PEKEE ALIYEDUMU KWENYE KUNDI KWA MIAKA 10
TUNDAMAN-YUPO
MB DOG-AMEJITOA
KEYSHA-AMEJITOA
SPARK-AMEJITOA
RICHARD
CASSIM MGANGA- AMEJITOA
Z-ANTO- AMEJITOA
HAFLA ya kuadhimisha miaka 10 tangua kuanzishwa kwa kundi la Tip Top Connection lenye maskani yake Manzese, Dar es Salaam itafanyika jumapili ya keshokutwa katika ukumbi wa Maisha Club.
Kutakuwa na burudani mbalimbali toka wasanii walipo katika kundi hilo, waliopata kupitia katika kundi na wasio wasanii wa kundi hilo.
Pia kutakua na matukio mbalimbali.