MCHEZAJI wa Olympiakos Rafik Djebbour akishangilia bao aliloifungia timu yake dhidi ya  Arsenal katika mechi ya ligi ya mabingwa barani Ulaya (UEFA)iliyopigwa kwenye dimba la Karaiskaki ambapo  Olympiakos ilishinda mabao  3-1.

Post a Comment

أحدث أقدم