NYOTA wa New Castle Papiss Demba Cisse jana aliiwezesha timu yake kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 ddhidi ya West Bromwich katika mchezo uyliopigwa kwenye dimba la Albion .
Katika mchezo huo ambao ushindi wake umeifanya New Castle ifikishe pointi 50, Cisse alitikisa nyavu mara mbili huku jingine likiandikwa na Ben Arfa.
Aidha bao pekee la West Brom liliwekwa kimiani na Shane Long.