Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka (TFF) Athuman
Nyamlani,akizungumza wakati ufunguzi wa semina elekezi ya msimu wa mashindano
ya Copa Coca Cola 2012 kwa Makatibu wa vyama vya Mikoa jijini Dar es Salaam leo mashindano ya Copa Coca Cola 2012 kwa Makatibu wa vyama vya Mikoa jijini
Dar es Salaam jana.Katikati ni
Mkurugenzi wa Michezo katika Wizara ya Habari Utamaduni na Michezo Leonard Thadeo na Meneja
uhusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya Coca-Cola kwanza,Evance Mlelwa.
Mkurugenzi wa Ufundi na Afisa Maendeleo wa Shirikisho la
Soka(TFF) Sunday Kayuni,akizungumza wakati ufunguzi wa semina elekezi ya msimu
wa mashindano ya Copa Coca Cola 2012 kwa Makatibu wa vyama vya Mikoa jijini Dar
es Salaam leo