Mwenyekiti Mtendaji wa Tume ya
Taifa ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) Dk.Fatma Mrisho wakati wa uzinduzi
wa kampeni ya kimataifa ijulikanayo kama ‘Tuko
Wangapi?, Tulizana’.
Dogo Aslay jukwaani
Original Komedy wakiwa kazini
Dk.Mrisho ambayea likuwa mgezi rasmi katika uzinduzi huo uliofanyika leo kwenye hoteli ya Golden Tulip amesema kwamba kampeni hiyo imelenga kuongeza
idadi ya Watanzania wanaojua maana ya mtandao wa ngono, hatari ya kuambukizwa
VVU kutokana na kuwa mmoja ya wanamtandao wa kuwa na wapenzi wengi kwa wakati
mmoja.
Original Komedy wakiwa kazini