Katibu wa kamati ya uchaguzi ya Yanga Francis Kaswahili (pichani) akizungumzia uchaguzi huo ambapo amewataka
wanachama wote ambao hawajalipa ada kufanya hivyo ili kuweza kushiriki katika
mkutano huo.
Alisema kupitia uchaguzi huo
zitajazwa nafasi za Mwenyekiti,Makamu Mwenyekiti na wajumbe wanne ambapo wanachama
wayakaowania uongozi wanatakiwa kuwasilisha fomu zao wakiambatanisha risiti ya
kununulia fomu, vyeti vya shule, uthibitisho wa uraia, namba ya uanachama na
picha mbili za passport size.