Mshambuliaji wa timu ya Kilimanjaro Taifa Stars, Mrisho
Ngassa akiwania mpira na beki wa Ivory Coast, Jean-Jaques Gosso Gosso wakati wa
mechi ya kusaka kufuzu kucheza michuano ya Kombe la Dunia iliyofanyika kwenye
uwanja wa Felix Houphouet-Boigny, mjini Abidjan juzi. Stars ilifungwa
mabao 2-0.
Mchezaji wa kimataifa wa Ivory Coast, Didier Drogba akiruka
juu sambamba na kipa wa timu hiyo, Boubacar Barry kuokoa mpira kwenye lango la
timu yao wakati wa mechi ya kuwania kufuzu kucheza Michuano ya Kombe la Dunia
dhidi ya Kilimanjaro Taifa Stars katika uwanja wa Felix Houphouet-Boigny mjini
Abidjan juzi. Ivory Coast
ilishinda mabao 2-0.
Mshambuliaji wa timu ya Kilimanjaro Taifa Stars, Mrisho
Ngassa akimtoka beki wa Ivory Coast, Siaka Tiene wakati wa mechi ya kusaka
kufuzu kucheza michuano ya Kombe la Dunia iliyofanyika kwenye uwanja wa Felix
Houphouet-Boigny, mjini Abidjan juzi ambapo Stars ilifungwa mabao 2-0.
Mchezaji wa kimataifa wa Ivory Coast, Didier Drogba akiruka
juu sambamba na kipa wa timu hiyo, Boubacar Barry kuokoa mpira kwenye lango la
timu yao wakati wa mechi ya kuwania kufuzu kucheza Michuano ya Kombe la Dunia
dhidi ya Kilimanjaro Taifa Stars katika uwanja wa Felix Houphouet-Boigny mjini
Abidjan juzi ambapo Ivory Coast
ilishinda mabao 2-0.
Beki wa Ivory Coast Siaka Tiene akimfanyia madhambi
mshambuliaji wa Kilimanjaro Taifa Stars, Mrisho Ngassa wakati wa mechi ya
kusaka kufuzu kucheza michuano ya Kombe la Dunia iliyofanyika kwenye uwanja wa
Felix Houphouet-Boigny, mjini Abidjan juzi ambapo Stars ilifungwa mabao 2-0.
Mshambuliaji wa timu ya Kilimanjaro Taifa Stars, Mrisho
Ngassa akimtoka beki wa Ivory Coast, Yaya Toure wakati wa mechi ya kusaka kufuzu
kucheza michuano ya Kombe la Dunia iliyofanyika kwenye uwanja wa Felix
Houphouet-Boigny, mjini Abidjan juzi ambapo Stars ilifungwa mabao 2-0.
Fair play! Mshambuliaji wa Kimataifa wa Ivory Coast, Didier Drogba akipeana mkono na
John Bocco 'Adebayor' wa Kilimanjaro Taifa Stars (kulia) mara baada ya
kumalizika kwa mechi ya kuwania kufuzu kucheza michuano ya Kombe la Dunia
kwenye uwanja wa Felix Houphouet-Boigny mjini Abuja juzi. Ivory Coast ilishinda mabao 2-0.
Beki wa timu ya Kilimanjaro Taifa Stars, Amir Maftah (kulia)
akijaribu kumzuia mshambuliaji wa Ivory Coast Gervas Yao wakati wa mechi ya
kusaka kufuzu kucheza michuano ya Kombe la Dunia iliyofanyika kwenye uwanja wa
Felix Houphouet-Boigny, mjini Abidjan juzi Stars ilifungwa mabao 2-0.
Beki Aggrey Morris (kulia) na kiungo Shaban
Nditi (kushoto) wa Kilimanjaro Taifa Stars wakimkaba Didier Drogba wa Ivory
Coast wakati wa mechi ya kuwania kufuzu kucheza Michuano ya Kombe la Dunia
dhidi ya Kilimanjaro Taifa Stars katika uwanja wa Felix Houphouet-Boigny mjini Abidjan juzi ambapo Ivory Coast
ilishinda mabao 2-0.