WAchezaji wa Ethiopia wakishangilia
Kikosi cha kwanza cha Twiga Stars leo
Wanadada wa Ethiopia
Alikuwa ni Berkhatawit Girm aliyeifungia Ethiopia bao hilo katika dakika ya 63 na hivyo kutwaa tiketi ya
fainali hizo kwa jumla ya mabao 3-1, baada ya kushinda 2-1 katika mechi ya
kwanza.
Kikosi cha kwanza cha Twiga Stars leo
Wanadada wa Ethiopia
MATUMAINI ya timu ya Taifa ya Wanawake 'Twiga Stars' kucheza fainali za
Afrika kwa mara ya pili yamepotea leo baada ya kufungwa bao 1-0 na Ethiopia, katika mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam .
Twiga Stars ilikuwa ikihitaji walau ushindi wa bao moja tu kujitwalia tiketi ya
kwenda kwenye fainali hizo zitakazopigwa Guinea ya Ikweta, mwezi septemba
Vikosi vya leo:
Twiga Stars: Fatma
Omary, Fatma Khatib, Pulkeria Chalaji, Flora Kayanda, Sophia Mwasikili, Mwapewa
Mtumwa, Amina Ally, Eto Mlenzi, Fatma Mustafa, Asha Rashid ‘Mwalala’ na
Mwanahamis Omary ‘Gaucho’
Ethiopia:
Liya Shibru, Buzhan Endale, Indnshet Tsegaye, Truanche Mengesh, Henot Dengisho,
Berkhatawit Girm, Eden Shiferaw, Zulka Juhad, Shetaye Sisay, Birtukan
Gebrekirsto na Erehma Zerga.