![]() |
Makamu Mwenyekiti wa Simba SC, Geoffrey Nyange Kaburu akisaini kwa niaba ya klabu mkataba wa kocha mpya wa klabu hiyo, Mfaransa Patrick Liewig
|
![]() |
Katibu wa Simba, Mtawala akiwaongoza Makamu Mwenyekiti wa Simba SC, Geoffrey Nyange Kaburu na kocha mpya wa klabu hiyo, Mfaransa Patrick Liewig kusaini. Nyuma ni Meneja Moshi.
|
![]() |
| Mwanasheria wa Simba, Allan Maduhu (kulia) akigonga muhuri mkataba huo |





إرسال تعليق