Home TAIFA STARS YAENDELEA KUJIFUA JIJINI MWANZA byANID UPDATES -July 18, 2013 0 Wachezaji wa Timu ya Taifa, Taifa Stars wakiwa mazoezini ikiwa ni mandalizi ya mechi ya marudiano na Uganda kuwania kucheza mashindano ya CHAN mwakani.Mazoezi hayo yanafanyika katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Facebook Twitter