| Bondia Mohamedi Nassibu akinyooshwa mkono juu kuashilia mshindi wakati wa mashindano ya wazi ya mchezo huo yanayoenderea katika ukumbi wa CCM Kata 15 Temeke mwisho picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
| Wasimamizi wa mashindano hayo wakifatilia kwa makini kushoto niRemmy Ngabo na Majeshi Kibilabila |
| Bondia Mussa Mohamed Kushoto akimshambulia Mselemi Abbas wakati wa mashindano ya wazi ya mchezo wa masumbwi yanayoenderea katika ukumbi wa CCMKata 15 Temeke mwisho Mohamedi alishinda kwa pointi. |
| Bondia Mussa Mohamed Kushoto akinyoshwa kuwa mshindi baada ya mpambano huo |
| mabondia wakiwa katika picha ya pamoja |
| Mabondia Mussa Kimweri kushoto na Iddi Pialali wakiwa katika picha ya pamoja |
| Mabondia Mussa Kimweri |
| Mabondia wakioneshana umwamba wa kutupiana makonde |
Bondia nasa Mafuru akioneshwa kuwa yeye ni bingwa Dhidi ya Mussa Kimweri wakati wa mashindano ya wazi Mabondia Omari Kimweri kulia na Nasa Mafuru wakiwa wamepozi