TIMU ya soka ya Bara, Kilimanjaro Stars jana ilianguakia pua kwenye michuano ya Chalenji baada ya kufungwa mabao 3-1 na Rwanda katika mchezo wa nusdu fainali ya michuano hiyo.
Kwa matokeo hayo, Kili Stars sasa itamenyana na Zanzibar Heroes katika mechi ya kusaka mshindi wa tatu