HAWA NDIO WATAIICHEZEA YANGA 2010/2011


LOUIS SENDEU, OFISA HABARI WA YANGA

KLABU YA YANGA IMETANGAZA RASMI MAJINA YA WACHEZAJI  ILIYOWASAJILI KWA AJILI YA MSIMU WA 2010/2011.

OFISA HABARI WA YANGA LOUIS SENDEU AMESEMA WAMESAJILI WACHEZAJI 27 TU.

1. IVAN KNEZEVIC (GOAL KEEPER)
2.YAW BERKO  (GOAL KEEPER)
3.NELSON KIMATH (GOAL KEEPER)
4.SHADRACK NSAJIGWA (rIGHT fULL BACK)
5.SALUM TELELA (RIGHT FULL BACK)
6.STEPHEN MWASIKA (LEFT BACK)
7.ABUU UBWA ZUBERI (LEFT FULL BACK)
8.NADIR HAROUB (CENTRAL DEFENDER)
9.ISAAC BOAKYE (CENTRAL DEFENDER)
10.MOHAMMED MBEGU (CENTRAL DEFENDER)
11.CHACHA MARWA (CENTRAL DEFENDER)
12.IBRAHIM JOB (CENTRAL DEFENDER)
13.ERNEST BOAKYE (RIGHT MIDFILDER)
14.NURDIN BAKARI (RIGHT MIDFILDER)
15.OMEGA SUNDAY SEME (MIDFILDER)
16.GODFREY BONNY (RIGHT MIDFILDER)
17. ATHUMAN IDDI (CENTRAL MIDFILDER)
18. YAHAYA TUMBO (ATTACKER)
19.KIGI MAKASI (LEFT MIDFILDER)
20.ABDI KASSIM (CENTRAL MIDFILDER)
21.KENNETH ASAMOH (ATTACKER)
22.JERRYSON TEGETE (ATTACKER)
23.NSA JOB (ATTACKER)
24.IDDI MBAGA (ATTACKER)
25.SHAMTE ALLY (RIGHT MIDFILDER)
26.RAZACK KHALFAN (MIDFILDER)
27. FRED MBUNA (RIGHT FUILL BACK)



.



Katika hatua nyingine, Sendeu amesema aliyekuwa meneja wa Yanga, Emmanuel Mpangala ataendelea kushikilia wadhifa huo mpaka atakapopatikana meneja mpya wa kuajiriwa na sasa zoezi la kumsaka linaendelea.

1 Comments

  1. Hizi timu kubwa zinanikera kitu kimoja migogoro huwa haiishi, natumai uongozi mpya utadumu na kuleta matumaini badala ya migogoro.
    Huyu jamaa anayeitwa Sendeu siye yule Gabriel Paul wa Minaki enzi zile. Hongera mzee kama ndio wewe

    ReplyDelete
Previous Post Next Post