JARIDA LA SHEAR LIPO MBIONI, USILIKOSE


TOLEO JIPYA LA JARIDA MAARUFU LA MASUALA YA NYWELE  LA 'SHEAR HAIR & BEAUTY LITATOKA RASMI AGOSTI 6, SIKU AMBAYO NYOTA WA BONGO FLEVA KWA UPANDE WA WANAWAKE LADY JD ANASHEREHEKEA MIAKA KUMI TANGU AANZE SANAA.

KUTAKUWA NA ONYESHO MAALUM LITAKALOFANYIKA KWENYE UKUMBI WA MZALENDO PUB ULIOPO JENGO LA MILLENIUM TOWERS AMBAPO ATAKAYENUNUA NAKALA MOJA YA JARIDA HILO ATAPATA NAKALA MOJA YA CD YENYE NYIMBO MCHANGANYIKO ZA LADY JD .

KUMBUKA KILA NAKALA INAPATIKANA KWA SHILINGI 5,000 TU MSIKOSE!

Post a Comment

Previous Post Next Post