JK NA RUGE MUTAHABA
RAIS wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Jakata Kikwete amekutana na wasanii wa muziki wa bongo fleva Ikulu ngogo iliyopo Chamwino, mjini Dodoma katika hafla maalum aliyowaandaliwa kwa ajili ya kuwapongeza kwa kazi yao nzuri na hasa ya kuhamasisha wananchi kukipigia kura chama cha mapinduzi (CCM).Mbali na wasanii hao, hafla hiyo ilihudhuriwa pia na viongozi wa makundi ya muziki, pamoja na wadau wakubwa wa muziki huo
JK, FID Q
JK, CHEGE
JK< BARNABA
JK, MWANA FA
JK, DULLY SYKES
JK, TUNDAMAN