NYENZI AJITOA KUGOMBEA YANGA

AYOUB NYENZI
MGOMBEA wa nafasi ya Makamu Mwenyekiti katika Uchaguzi Mkuu wa klabu ya Yanga, Ayoub Nyenzi, ametangaza kujitoa katika kinyang’anyiro hicho.


Akizungumza sababu za kuachia ngazi alisema inatokana na kuona sera zake zinafananana na mmoja ya wapinzani wake katika nafasi hiyo, Davis Mosha hivyo ameona ni busara kumuachia mwenzie nafasi.

"Nawaomba wanachama wa Yanga kumpigia kura Mosha ili aweze kukalia kiti hicho", Alisema.

Post a Comment

Previous Post Next Post