SINGO DESIRE MISHELI KUZIKWA KESHO B'MOYO


MWILI WA MAREHEMU SINGLE DESIRE MISHELI UNATARAJIWA KUPUMZISHWA KWA AMANI KESHO JUMANNE KATIKA SHAMBA LA FAMILIOA LILILOPO BAGAMOYO.

KWA MUJIBU WA DADA WA MAREHEMU, ANGELLA MSANGI WA TBC ONE MSIBA UPO NYUMBANI KWA MAMA YAKE HUKO KIGAMBONI.

MAREHEMU ALIFIKWA NA UMAUTI JUMAPILI ASUBUHI JIJINI DAR ES SALAAM ALIPOKUWA AMELAZWA KWENYE HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI AKISUMBULIWA NA UVIMBE KICHWANI, KABLA YA KUREJEA NCHINI KWA MATIBABU ZAIDI  MAREHEMU ALIKUWA AKIISHI NCHINI CHINA, DUBAI.

KWA NIABA YA WANAFUNZI TULIOSOMA NA MAREHEMU SHULE YA MSINGI LYALAMO,  TOSAMAGANGA IRINGA TUNATOA POLE KWA FAMILIA YA MAREHEMU SINGO DESIRE MISHELI.
MWENYEZI MUNGU AIWEKE ROHO YA MAREHEMU PEMA PEPONI, AMINA.

Post a Comment

Previous Post Next Post