HII NDIYO HOSPITALI YA WAGONJWA WENYE MATATIZO YA AKILI

KABLA YA ONYESHO LA KUCHANGIA HOSPITALI HIYO, MCHANA TULIPATA FURSA YA KUITEMBELEA NA KUJIONA MAMBO MBALIMBALI, HATUKUWEZA KUCHUKUA PICHA ZA WAGONJWA KWA SABABU NI KINYUME NA HAKI ZA BINADAMU.


HII NI WODI YA KINAMAMA


SEHEMU YA HOSPITALI



BUSTANI ILIYOPO WODI YA WANAWAKE



WODI YA WANAWAKE





MOHAMMED SULEIMAN, MUUGUZI WA WODI YA WANAUME



HUMU NDIPO WANAPOLALA WAGONJWA WANAUME




MUSTAFA HASSANAL NA MWENYEJI WETU, MARIAM



HASSANALI AKIZUNGUMZA JAMBO NA MWENYEJI WETU KATIKA CHUMBA WANACHOFANYIA KAZI ZA MIKONO WAGONJWA WANAWAKE


KARAKANA



JIKO


HAWA NI MADAKTARI WA KUJITOLEA KUTOKA NCHINI CUBA

1 Comments

  1. ahsante kwa taswira nzuri!! ni jambo la kufurahisha kuona hali hii.

    ReplyDelete
Previous Post Next Post