FERE GOLA AMTANGULIZA SHIKITO, WACHEZA SHOO WA KIUME
byANID UPDATES-
0
SHIKITO
MADANSA
MSANII kutoka jamhuri ya kidemokrasia ya CongoFerre Gola aluyetarajiwa kuwasili jana alishindwa kutua nchini badala yake aliwatanguliwa wacheza shoo wake na msanii mwenye umri mdogo Shikito.
Msanii huyo anatarajiwa kutua leo tayari kwa onyesho maalum la kupamba uzinduzi wa bendi ya muziki wa dansi ya mashujaa musica utakaofanyika kesho kwenye ukumbi wa Diamond jubilee jijini Dar es Salaam