HASHEEM THABEET AUZWA HOUSTON ROCKETS



MTANZANIA wa kwanza kucheza katika ligi ya kikapu nchini Marekani maarufu kama NBA Hasheem Manka Thabeet aliyekuwa akichezea timu ya Memphis Grizzlies, ameuzwa kwenda timu ya Houston Rockets ya Houston,Texas.
Kwenda huko kwa Hasheem ni sehemu ya mabadilishano maalumu baina ya timu hizo ambapo Houston itampeka Memphis Grizzlies Shane Battier.

Post a Comment

Previous Post Next Post