KOCHA MKUU WA TIMU YA TAIFA YA NETIBOLI SIMONE MACKNNIS PAMOJA NA MWENYEKITI WA CHANETA ANNA BAYI BAADA YA KUWASILI LEO
KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Netiboli, Simone Macknnis, raia wa Australia ametua nchini jioni ya leo tayari kuanza kazi ya kuinoa timu hiyo kwa mashindano ya kimataifa.
]Kocha huyo amewasili huku timu ya taifa ya Netiboli, Taifa Queens ikikabiliwa na mashindano ya Afrika yatakayofanyika nchini Afrika ya Kusini kuanzia Septemba 5.
Duuh dada Dina naomba nimjue huyo alivaa fulana ya kijani kwani nimempenda sana
ReplyDelete