Bao la Simba lilifungwa jkwa penati na Rashid Gumbo katika dakika ya 61.
Mechi nyingine zilikuwa kati ya Azam Fc na JKT Ruvu iliyopigwa katika dimba la Mkwakwani Tanga na kutoka sare ya bila kufungana, wakati Toto Africa ya Mwanza iliifunga AFC ya Arusha bao 1-0 katika mechi iliyopigwa kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha