YANGA YATOKA SARE NA MTIBWA SUGAR 1-1-JAMHURI, MOROGORO
KAGERA SUGAR YAIFUNGA AZAM 1-0, KAITABA, KAGERA
MSHAMBULIAJI wa Simba na mgfungaji bora wa msimu uliopita Mussa Hassan Mgosi ameendeleza jitihada ja kutetea taji lake kwa kuifungia mabao mawili timu yake katika mechi ya leo na Mashaka Maliwa aliifungia Ruvu Shooting.
Mgosi sasa anamiliki mababao matatu baada ya kuifungia Simba bao 1 kati ya 2 waliyoshinda mechi yao na Azam Fc jumamosi iliyopita.